Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

400026600775_167172.jpg
 
Ni kweli Senzo ameacha kazi, ila nawasihi wana Simba wawe watulivu.
Simba ni timu kubwa, ina uwezo wa kumuajiri mtu kutoka nchi yoyote Duniani achukue nafasi yake.
Simba imepita kwenye misukosuko mingi sana mpaka kufikia hapa.
Na hili litapita na Klabu yetu itakaa kwenye level ile ile tuliyojipangia-- Mo Dewji
FB_IMG_1596987191672.jpg
 
Ni kweli Senzo ameacha kazi, ila nawasihi wana Simba wawe watulivu.
Simba ni timu kubwa, ina uwezo wa kumuajiri mtu kutoka nchi yoyote Duniani achukue nafasi yake.
Simba imepita kwenye misukosuko mingi sana mpaka kufikia hapa.
Na hili litapita na Klabu yetu itakaa kwenye level ile ile tuliyojipangia-- Mo DewjiView attachment 1532341
Mnatakiwa mumkanye manara kila kona yupo sasa kavurunda suala la usajili. Marrison ni mchezaji mzuri ila kiburi kinamponza
 
Back
Top Bottom