Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli Senzo ameacha kazi, ila nawasihi wana Simba wawe watulivu.
Simba ni timu kubwa, ina uwezo wa kumuajiri mtu kutoka nchi yoyote Duniani achukue nafasi yake.
Simba imepita kwenye misukosuko mingi sana mpaka kufikia hapa.
Na hili litapita na Klabu yetu itakaa kwenye level ile ile tuliyojipangia-- Mo Dewji
 
Mnatakiwa mumkanye manara kila kona yupo sasa kavurunda suala la usajili. Marrison ni mchezaji mzuri ila kiburi kinamponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…