moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hasa yale yaliyokomaa,huwa naona hivyo. Vile vikorea vya mjini kijijini wana mashamba makubwa ya kabechiAu ukute wanaweka mapande makubwa makubwa ya kabechi
Ahsante..kwa elimj maridhawa
Wapi huko.?Bro Mama anakutafuta aise
Tukuhamishie Seoul sasa, 😊Hasa yale yaliyokomaa,huwa naona hivyo. Vile vikorea vya mjini kijijini wana mashamba makubwa ya kabechi
Hapa hujamuweka Guardiola kwanini mkuuKutoka kuwa mchezaji mkubwa mpaka kuwa kocha mwenye jina kubwaView attachment 1532836
Tukuhamishie Seoul sasa, 😊
Eee ntakonda mie kula tambi kila siku huku zikibadilishwa majina tu mara ramiyoni mara jajangmion
Camillia ipi au unamaanisha when camellia blooms?Hah, kukonda kule ni kama huku wadada kuwa na vitambi😃......halafu camilia naipata wap.?
KissAsian siioni
Yeah, au ndio nishakosea spelling ndio maana siipatiCamillia ipi au unamaanisha when camellia blooms?
Itakua jaribu tenaYeah, au ndio nishakosea spelling ndio maana siipati
Itakua jaribu tena