mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mwaka 1977, mjini Dallas, Marekani , Devi aliishinda Univac, mojawapo ya kumyuta zilizokuwa na kasi zaidi kuwahi kuundwa duniani.
Aisee...Aliandika vitabu kuhusu unajimu, upishi, hesabu, na uhalifu.
Pia alipigania kuhalalishwa kwa mapenzi ya jinsia moja, ambapo 1970 lilikuwa tatizo kuu la ulimwengu kwa jumla.