Na katika shindano la kuingia katika vitabu vya dunia vya Guiness , alishinda kwa kuzidisha nambari mbili za nambari 13 zilizochaguliwa kutoka maeneo tofauti na kompyuta mbele ya umati wa watu 1000 katika chuo cha Imperial mjini London.
Alichukua sekunde 28 kukamilisha hesabu hiyo ikiwemo muda aliochukua kusoma jibu la nambari 26.
Muigizaji huyo aliandaa jukumu lake kwa kutazama kanda za video na kusoma habari kumuhusu Devi, pamoja na kusikiliza hadithi za Anupama Banerji, mtoto wa kike wa pekee anayeishi na familia yake mjini LOndon.
Yote haya yalinipatia wazo kuhusu maisha yake . Kile kilichonivutia mimi ni kwamba watu uhusisha mchekeshaji na hesabu na hubadilisha wazo hilo kabisa'', anasema.
Yote haya yalinipatia wazo kuhusu maisha yake . Kile kilichonivutia mimi ni kwamba watu uhusisha mchekeshaji na hesabu na hubadilisha wazo hilo kabisa'', anasema.
Katika utafiti wa mwaka 1990, Authur R Jensen , mtafiti wa intelijensia ya binadamu katika chuo kikuu cha California ,USA, alimtaja kuwa "makini, anayetumia muda wake mwingi vizuri, mwenye tabia njema na mtu fasaha.
lakini antumai pia italeta mabadiliko jinsi watu wanavyofunza hesabu , kulifanya kuwa somo la kuvutia na kuondoa hofu ambayo watu huwa nayo mbali na kuwapatia wengine motisha ya kujifunza
Mgombea wa urais wa chama cha Democratic Joe Biden amemtaja Seneta Kamala Harris kama mgombea mwenza-akiwa ni mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kugombea wadhifa huo.