Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahaa basi yule bodyguard wa lemiho kwenye eternal nimemuona drama ya sweet stanger and me. Nilidhan eternal ni drama yake ya kwanzaatakupeleka kuzimu huyo aunti yako.....wewe endelea kunywa tu
aunt my foot
fight for my way naishusha muda huu.....Hahahahha aiseee
Ee rudi akupeleke kwenye stress za epl na la liga
Epl tu peke yake, bado na Vimwana vyake, Sitaki kukonda mie......wakorea ndio wananifaa..!kwa usalama wa afya yako si vibaya ukamrudia mfalme mpotevu
Fight niliinjoi sana ipo vizuri ina comedy tamu,kiss uwii hazikosekanf
fight for my way naishusha muda huu.....
kuna family drama moja inaitwa The Gentlemen of Wolgyesu Tailor Shop.....nataka niishushe japo nusu
View attachment 1535551
Hahahahaha ndo anakuchangamsha uzinduke.Epl tu peke yake, bado na Vimwana vyake, Sitaki kukonda mie......wakorea ndio wananifaa..!
upo on fire kama BTS.........Epl tu peke yake, bado na Vimwana vyake, Sitaki kukonda mie......wakorea ndio wananifaa..!
😆 😆 mie mwenyewe hizo mbili zinanichanganya haswa heal me,naona ntaishia njiani nihamie tailors ya daeugal "Hahahahaa basi yule bodyguard wa lemiho kwenye eternal nimemuona drama ya sweet stanger and me. Nilidhan eternal ni drama yake ya kwanza
Nimeona kopa yako nikajua tu utakimbilia tailor hahahah😆 😆 mie mwenyewe hizo mbili zinanichanganya haswa heal me,naona ntaishia njiani nihamie tailors ya daeugal "
Hahaha, staki fujo season hii, namuweka bench kijana wakoHahahahaha ndo anakuchangamsha uzinduke.
Jaman kijana busy kutafuta hela queen busy kumuweka benchHahaha, staki fujo season hii, namuweka bench kijana wako
Tailors imenivutia, watu wako smart, wazurii heheNimeona kopa yako nikajua tu utakimbilia tailor hahahah
Camellia inahitaji muda kuwasoma wale wamam,muda kuwazoea main actor na actress
ila sijui nitaiangalia lini..... hapo kwenye list nimeangalia drama 3 na bado naongezea stocksFight niliinjoi sana ipo vizuri ina comedy tamu,kiss uwii hazikosekan
Hata moja bado, hahah....mnanijidai wenyeweila sijui nitaiangalia lini..... hapo kwenye list nimeangalia drama 3 na bado naongezea stocks
#uchaguziUnakaribia
#waleviTujazeJokofu
the happiness umeangalia ngapi mlevi mpya
View attachment 1535553
Daah aunt kama ni elimu tayari una phd yako unadaka matirio haraka mno .awesomeTailors imenivutia, watu wako smart, wazurii hehe
🙏😍I`m humbled auntie....huwa na enjoy sana nikipata filamu zinazovutia, naamini sikosi cha kujifunza humo.Daah aunt kama ni elimu tayari una phd yako unadaka matirio haraka mno .awesome
karibu klabuni....sijawahi kukukaribisha.........kunywa mpaka usahau viatu vyakoHata moja bado, hahah....mnanijidai wenyewe
Kweli stock muhimu hatujui net itachezewaje na wenye siasa zao.ila sijui nitaiangalia lini..... hapo kwenye list nimeangalia drama 3 na bado naongezea stocks
#uchaguziUnakaribia
#waleviTujazeJokofu
the happiness umeangalia ngapi mlevi mpya
View attachment 1535553
single mother na harakati zakeMpaka saivi camelia sijaelewa inaelekea wapi.....ila siiachi