Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20200812-WA0047.jpg
 
Dae nimerudi hapa romance is a bonus book maana enzi inaonyeshwa sikuipenda na actor nilikua simuelewi elewi ila aiv namuelewa vizuri tu
nilidhani nitakuwa team bookworm baada ya kuiangalia hiyo drama lakini wapiiiii.....naelekea kumaliza mwaka bila ya kuangalia hata jarida la playboy (nikatia nuru macho).
 
nilidhani nitakuwa team bookworm baada ya kuiangalia hiyo drama lakini wapiiiii.....naelekea kumaliza mwaka bila ya kuangalia hata jarida la playboy (nikatia nuru macho).
Kuna vitu nivya kuangalia tu kwa mbali,nowdays hata gazeti linanishinda bora majarida ya fema naangalia tu katuni na mishono ya wahusika wa jarida.
 
Back
Top Bottom