Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Chama kile kilikuwa kinatuchangisha laki 5 kila mwezi na wale wa viti maalum walikuwa wanachangia 1.5 milioni.
Tulipoomba kupewa mahesabu tuliambiwa hela ishatumika.
Kuna wizi pale" Peter Lijualikali View attachment 1535710
Amevunja kanuni mojawapo muhimu sana katika maisha....Ya kutotukana wakunga na uzazi ungalipo. Yajayo yamefichwa mbele ya mwanadamu !!!
 
B
FB_IMG_1597301307457.jpg
 
Aaii Jamani mbeba mapacha wangu😉, usinifanyie hivyo ndio maana nimejiwahi kabla ya adhabu [emoji18]
Eti mbeba mapacha wako dah! That's the TH I know. King arudi mapema azawaisi ze revolusheni wili noti bi televaizidi [emoji16][emoji16][emoji16]

Na siyo mbeba mapacha tu....kuna quintuplets, triplets na seti kadhaa za mapacha. Ni wewe tu na roho yako. TH...
2.3736117343492654E18.jpg
 
Back
Top Bottom