moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hakuna kisichowezekana, yetu macho.
Duuuuu, ibara namba ngapi hiyo mkuuSerikali ni kikundi cha watu wenye dhamana ya kuongoza nchi. Chaweza kuwa kikundi cha watu wema, wazalendo, wenye hekima na akili. Chaweza pia kuwa kikundi cha wahuni, washamba, malimbukeni na wajinga. Au ikawa mchanganyiko wa hayo yote na mengineyo.
MmhhGeto languView attachment 1535424
Hahahaha, uchogo huoTff bana kosa linaonekana mnatuzungushazungusha[emoji102]View attachment 1535440
Amevunja kanuni mojawapo muhimu sana katika maisha....Ya kutotukana wakunga na uzazi ungalipo. Yajayo yamefichwa mbele ya mwanadamu !!!"Chama kile kilikuwa kinatuchangisha laki 5 kila mwezi na wale wa viti maalum walikuwa wanachangia 1.5 milioni.
Tulipoomba kupewa mahesabu tuliambiwa hela ishatumika.
Kuna wizi pale" Peter Lijualikali View attachment 1535710
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mbeba mapacha wako dah! That's the TH I know. King arudi mapema azawaisi ze revolusheni wili noti bi televaizidi [emoji16][emoji16][emoji16]Aaii Jamani mbeba mapacha wangu😉, usinifanyie hivyo ndio maana nimejiwahi kabla ya adhabu [emoji18]