moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kitakuwa kilio na kusaga meno.
Loool
Loool
Wapi hiyoKaribuni kijijini kwetuView attachment 1536309
😂😂😂Kamati ya roho mbaya, wakitaka lao hawashindwi.
View attachment 1536395
Wewe ni shoto shoto mkuu?SHIMBA YA BUYENZE na wengine wote humu... View attachment 1536434
Mkuu mimi ni shoto kwa kila kitu.Wewe ni shoto shoto mkuu?
Mwenzako huyu hapaView attachment 1536449
Huyu jamaa anaidhalilisha sana elimu yake, mwaka 2015 alilitaka hili hili analo lipinga leo.Kitila Mkumbo
2020.
Kunyamaza kuna faida zaidi, maana huwezi kujua kesho kitatokea nini View attachment 1536441
Mimi siyo mashoto shemejiSHIMBA YA BUYENZE na wengine wote humu... View attachment 1536434
Wanasiasa hawakumbukagi kauli zao. Karibu kila kitu wanachosema ni uwongo na uwongo huwa haukumbukwiKauli za Kitila Mkumbo
2015.View attachment 1536440
Mwaka juzi ulivyo iongelea nikajua upo upande huu.Mimi siyo mashoto shemeji