myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaWanasiasa hawakumbukagi kauli zao. Karibu kila kitu wanachosema ni uwongo na uwongo huwa haukumbukwi
Kwema, habari za ukanda wenu huo.Mkuu mimi ni shoto kwa kila kitu.
Kwema mzee wa pwani?