Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NILILAZWA MUHIMBILI KWA UNENE "Watu walidhani nimepungua ghafla ilikuwa ni process nililazwa Muhimbili miezi mitatu kwa sababu nilikuwa nashindwa kupumua vizuri nikaambiwa naweza kupata maradhi ya presha ilinilazimu nipungue nilisaidiwa na watu wa lishe tiba nilitumia kwa miezi tisa nikapungua virutuhisho vinakata kilo 5 hadi 7" ..Ameyasema hayo Baghdad kwenye mahojiano na Clouds360
 
Napiga mikutano yangu sehemu za wazi kama sokoni na barabarani kwasababu maisha ni magumu na kuwatoa watu kwenye shughuli zao za kujitaftia riziki sio vizuri..!! Mimi nawafaya palepale kwenye shughuli zao na napiga sera zangu palepale..!! Mh HASHIM RUGWE ; Mgombea Urais kupitia Chama Cha Chauma.
 
“Vijana wengi siku hizi wanasheherekea siku zao za kuzaliwa kumbe hawajui kuwa wanasheherekea siku zao za kufa na Mwisho wao , na wengi wao unakuta hawana ajira ... Mimi nikiwa Rais nitakiondoa hiko kitu “ - Ameyasema Hayo Cecilia Augustine Mmanga , Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…