capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Willian to Arsenalš„
Bado kuna tofauti.Mo anatuhumiwa sana kukopi bidhaa za wenzake kama zilivyo na kubadili majina kidogo tu. Hata kwenye logo hajaniangusha [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1537255View attachment 1537256
[emoji870]Hi guys
Shwari mkuu, kwemaHabari za mchana kutwa
Karibu Msimbazi beki kisiki
Ukikopi vya wenyewe unaweza kujikuta unalipishwa mamilioni. Na madenti wangu akikopi kopi huko na kujifanya eti mjanja sifuri inamhusu wallahi...Kuwa na fikra huru muhimu [emoji2221]Bado kuna tofauti.
Ila maisha haya bila kukopi hutasogea.
Ikibidi unakopi ili usonge