Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwezi Octoba joto lake inakuwaje, hiyo 11 siwezi mkuu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mwezi wa sita na wa saba tulio pembeni mwa mlima wa mateso kwa mateka wa Kilibya tulikuwa tunacheza kwenye joto kati ya 3°C hadi 14°C mchana jua kali.
Kwa Octoba itacheza 15°C hadi 27°C mchana.
 
Hilo eneo inaonekana hali yake ya hewa ji baridi muda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…