Nape anamwambia Waziri Mkuu Kuwa Siasa za kistaarabu zifanyike Makao Makuu Na siyo Mtama,kuwa huko Mtama watatembeza Viatu dhidi ya kila atakayewachokoza.
Nachoshangaa
1.Chama chake kipo kimya na kauli hizi
2.Tume ya uchaguzi wapo kimya
3.Viongozi wa dini wapo kimya
4.Jeshi la Polisi wapo kimya
5.Watetezi wa haki za binadamu wapo kimya
6.Vyombo vya Habari vipo kimya,hakuna hata tahariri inayoonya kauli ya Nape
7.Msajili wa vyama vya siasa yupo kimya.
Waswahili wanausemi usemao, Mchelea
Mwana kulia???..............