Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Na wasiwasi na Lukaku... Endapo United akienda fainal na akakutana na Inter Milan, basi Lukaku anaweza fanya kama alichofanya Kautinyo janaKautinyo bana kapigilia na msumali kabisaa kuwaua "ndugu zake"
.....Atalia yeyeNape anamwambia Waziri Mkuu Kuwa Siasa za kistaarabu zifanyike Makao Makuu Na siyo Mtama,kuwa huko Mtama watatembeza Viatu dhidi ya kila atakayewachokoza.
Nachoshangaa
1.Chama chake kipo kimya na kauli hizi
2.Tume ya uchaguzi wapo kimya
3.Viongozi wa dini wapo kimya
4.Jeshi la Polisi wapo kimya
5.Watetezi wa haki za binadamu wapo kimya
6.Vyombo vya Habari vipo kimya,hakuna hata tahariri inayoonya kauli ya Nape
7.Msajili wa vyama vya siasa yupo kimya.
Waswahili wanausemi usemao, Mchelea
Mwana kulia???..............
Na kama aliondoka na kinyongo tutakoma hahahaaNa wasiwasi na Lukaku... Endapo United akienda fainal na akakutana na Inter Milan, basi Lukaku anaweza fanya kama alichofanya Kautinyo jana
Hivi yaan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yanii wewee
Ahsante Mungu shemeji zangu wasukuma hawatoki maeneo hayo tajwa...Shinyanga, Simiyu, Ushirombo, Kahama na Geita wanapenda sana ngumi za kuku.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1537842
Huruma kwa baka, ni hatari sana hii
Wamepokea Kichapo takatifuuπ
Raha sana sijui cole kajifichia wapiWamepokea Kichapo takatifuuπ
HahahaBayern Munich need to be banned for turning champion league to basket ball.
Du AiseeThe scoreline now looks like Covid-19 statistics;8 new cases and 2 recoveries [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaman jaman hahahahaView attachment 1537952