moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila la kheri ankooNimejiapiza siku nikinunua gari nitaliendesha likiwa milango wazi majirani wajue nina gari, sitajitesa haki
Mungu ni mwema tupo vizuri Anko, salaam kwa binti yangu pamoja na ule ugeni [emoji120][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila la kheri ankoo
Ni tumaini langu hapo nyumbani hamjambo ankoo...
Mapumziko mema na familia!
Ujue nguvu zako za kiume hazikidhi.Text inaingia
"Nikuletee Korosho au Karanga"
[emoji23][emoji23][emoji23]Ujue nguvu zako za kiume hazikidhi.
Suluhisho: fuatilia tafiti za Esta
Asante sana ankoo, salam zimefika ankoo[emoji120][emoji120]Mungu ni mwema tupo vizuri Anko, salaam kwa binti yangu pamoja na ule ugeni [emoji120]