moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Magic amelamba chumvi si haba.
Dada mkali naye amekula
King Davet mtakaua na stess ako ka Dogo Barca hoi Citizens hola[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi KD[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi kijana mpole?
Mkuu huyo mnyama/ mdudu simkubali kabisa.[emoji222]View attachment 1538910
[emoji16] unaogopa na wewe utakuwepo kama yeye?Mkuu huyo mnyama/ mdudu simkubali kabisa.
Nikimuona mwili unasisimka sana.
Sasa ukiniambia nijipake hayo mafuta napata tabu sana
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana bro[emoji23][emoji23][emoji23]bro unajitoa kwenye letu pendwa?[emoji23][emoji23]
Ana hali mbaya huko alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi KD[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi kijana mpole?
Simpendi mkuu, nanuona ni mlaini sana[emoji16] unaogopa na wewe utakuwepo kama yeye?
Na ngozi yako inakuwa ivyo ivyo bossSimpendi mkuu, nanuona ni mlaini sana
Hayo mafuta yanatengenezwa na kiwanda gani kiongoziNa ngozi yako inakuwa ivyo ivyo boss