Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
4. Mahali, si kila mahali ni salama kwa kunywa pombe, chagua mazingira yenye usalama, au karibu na nyumbani ama uwe na marafiki wawili au zaidi na wastaarabu kama wewe,
Duh! swali lako nitalijibu vizuriHayo mafuta yanatengenezwa na kiwanda gani kiongozi
Nataka nijue kama TBS wamethibusha ubora wa hiyo bidhaa, kisha nijurishe huyo konokono mlimfanyaje mpaka kuyapata mafuta yakeDuh! swali lako nitalijibu vizuri
Rafiki wewe mkorofi ila bidhaa imetoka China iyo na imethibitishwaNataka nijue kama TBS wamethibusha ubora wa hiyo bidhaa, kisha nijurishe huyo konokono mlimfanyaje mpaka kuyapata mafuta yake
Kiongozi unakaza KweliHayo mafuta yanatengenezwa na kiwanda gani kiongozi
[emoji16][emoji16][emoji16]Nataka nijue kama TBS wamethibusha ubora wa hiyo bidhaa, kisha nijurishe huyo konokono mlimfanyaje mpaka kuyapata mafuta yake