Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Maneno dhidi ya Vitendo....so far watu wenye maneno mengi sana hawana Utekelezaji.NDEGE KASUKU ANAONGEA SANA LAKINI HAWEZI KUPAA ZAID ANGANI
NDEGE TAI HAONGEI SANA ILA NDIO WANAOPAA ZAIDI ANGANI
UMEJIFUNZA NINI KUPITIA MSEMO HUU??
[emoji27][emoji27]
Huyu mtu daah naisubiria oct kwa hamu
Tako flani ivi [emoji39]