Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Duu, sitapata samaki poti; biashara asubuhi ujue.Poti ban ziwani unawahi mno subiri saa saba ndo uende
Hahaha Nyakahoja ya ushuaniMaskini mieeee bora ungenitajia nyakabungo,nyanza,hata pamba kabla haijawa sec
Jamani na Mimi naombeni likes basiUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Siku mzee baba alipokumbuka kuvua kwa ndoanoView attachment 1539931
Mzee baba anajua kutuektia kweli, kwa hiyo alipovua kwa ndoano ndio aka wavua hao sangala wawili hapo hapo tu[emoji23][emoji23]
Mmmh bora hatukugeuzwa netball
Hiyo ni namna ya kuwasiliana na mke wa mtu😅😅Aisee
Umeona ee parefu pale kwa akina sieHahaha Nyakahoja ya ushuani