Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliondoka kimoja. I miss her....
2019-06-03%2014.50.06%202058082769620603935_1636540191.jpg
 
Karibu sana Poti. Rudi nyumbani kumenoga [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Hicho tu ndio kilichobaki poti, hawa City watasababisha nipate tezi dume hawa. Halafu haka ka Numbisa kanasema eti Asenali timu ya ajabu; hakajui kuwa wakati kako chekechea pale "Nyakahoja" Asenali ndio ilikuwa Baba lao. 😅😅🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Maskini mieeee bora ungenitajia nyakabungo,nyanza,hata pamba kabla haijawa sec
 
Back
Top Bottom