Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1597727456457.jpg
 
2. Chochote unachofanya hakikisha unakuwa imara kuliko mtu mwingine yyt, nature itakulipa kwa uimara wako, nothing less

Climb to the top of the pyramid, ukishindwa basi hakikisha upo ktk circle ya watu hao. Usijiassociate na losers, utakuwa mmoja wao na utakufa km ulivyozaliwa
 
3. Usitegemee kuwa at the top of pyramid km unabehave sawa na kila mtu aliye chini ya pyramid

Kila mtu aliye at the top of the game haijalishi field gani; corporate, politics, business, leadership, military nk hakuwahi kua mpole. You gotta be f* ruthless, selfish and mean
 
4. Duniani kuna 1% tu ya cream hybrid na 99% ya kila mtu mwingine

Km ilivyo kwenye law enforcement, kila mtu ni innocent unless proven guilty, pia kwenye maisha at any time T assume kila mtu ni kilaza unless ajiprove kuwa sio kilaza

So, usipoteze muda na watu bcoz wengi ni 99%
 
5. Km huna thamani yyt kila kitu kingine utakachoshauriwa ni upumbavu. Ht uwe na network imara kiasi, km thamani yako ni ndogo hiyo network inakua km kivuli tu

1st thing 1st jipe thamani kwa kudevelop specific skill & knowledge. Hizi ni skills ambazo 99% ya watu wengine hawana!
 
Back
Top Bottom