13. Huwezi kutajirika kwa kuwa smart, IQ kubwa, well connected, maarufu, mtata, mpole, GPA kali nk. Njia pekee ya kutajirika ni kuongeza value ktk maisha ya watu
Remember, sio kila value unayouza itakutajirisha, value pekee itakayokutajirisha ni ile ambayo ina 'fast scalability'