capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kidogo niamshe majirani
[emoji51][emoji51][emoji2296]7. Km unataka kutajirika usitatue matatizo ya asili (natural challenges) tatua matatizo ya watu ya kujitakia.
Why? Bcoz haya matatizo ni scalable since ujinga ni universal. Acha kutibu mapafu bcoz ni natural challenge, uzia watu cheap dopamine km sigara wajinga weng watavuta tu
Asante sana Jaman,Kwa nini nitawasisitizia sn wanangu kuhusu pesa/utajiri? Kwa sababu hkn heshima, umaridadi, ushujaa au ufahari wowote ktk umaskini. Kimsingi fedha ni jawabu la mambo yote ~ Mhubiri 10:19
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi kanye anatuonajee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alipotea ghafla kisha akàibuka akiwa hivi wengi wanabahatisha tu grid ila labda tete kuwanga au reactions za mikorogoAmepatwa na nini huyu binti?
View attachment 1541463
Hah, camelia nimefika 11, ile ya babu urojo niko5😇Hahahahah Anatuona kama macho ya Davet