Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Cha ajabu sasa hata atakayekuja naye atafanya yale yale...na hata mabaya kuzidi ya aliyeondolewa. Afrika sijui tumerogwa na nani [emoji51][emoji51][emoji51]Mambo ya kijinga bado yapo barani Afrika View attachment 1541693
Afrika ni bara la kirofaCha ajabu sasa hata atakayekuja naye atafanya yale yale...na hata mabaya kuzidi ya aliyeondolewa. Afrika sijui tumerogwa na nani [emoji51][emoji51][emoji51]
Wajumbe hawa na wao watawakata na kuamsha upya kilio kwa waliowekeza hela zao kwenye siasa
πππWapi Simba Dume mwenye manyoyanyoyaView attachment 1541691
Huyu dada ni nani kwani?
Yupo kwenye mpango wa kuachiwa tena kuanza kufanya safari