Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Usiku wa manane ndipo yule fala Iziraili mtoa roho huwa yuko bize huku na huko akinyofoa roho za watu. Ni muda wa hatari sana kiroho. Heart attacks na strokes nyingi hutokea wakati huu. Inashauriwa kuwa ukiamka muda huu ni bora upige sala na kumuomba Mungu Akupe ulinzi vinginevyo yule simba aungurumaye huku na huko huku akitafuta mtu ammeze anaweza kuondoka na wewe.Hivi usiku wa manane unakuwaje?