Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2020-08-23 Instagram.png
 
Kuna makeups, pia mkorogo
Kuna haters, na wale waliojiskia tu kuleta shobo...


Kuna tofauti kati ya Mcee na CEO,
Tambi na minyoo
Glass na kioo
Bafu na choo...


SKIA, ili usisahau
ONA, ili ujifunze
FANYA ili ukumbuke kama ulisahau ya jana...

Wafurahishe walio karibu, walio mbali watasogea
Elewa, kama mbwa, usijaribu hata kuongea
Unachokitaka haukipati, aliyekipata hakitumii...


Huyu mzugaji mzinguaji siwezi kumpa
Huyu wakati Mungu ndo mpaji, unakosea hii
Wanatumia mbaya za bandia kurudia viporo...


Ushapagawa, watoto sasa wanasaka chochoro
Hapa kahawa, ni maji ya moto yenye rangi ya ugoro
Hatuwezi kuwa sawa, mwendo wa kasoro zenye kasoro...


Uhuru wa miguu mikono, akili imefungwa mnyororo
Ntawadhuru sana huo usingizi wa pono tommorrow
Hauna ushuru mdomo, chunga ulimi usilete mgogoro
Ona, bila farasi kidume hawezi kuitwa Polo...




Cc: mahondaw
 
Hawamaanishi wanachosema ila huongea ya maana
Maandishi nayo yatema yakipotea ujue una laana
Wana drama ukikwama lawama za bwana akikukana ni uhasama unanichanganya kutamaniana ujana una maana kupendana...


Mapenzi sio mashindano ya flani na flani wako wanaishi Ni makubalianao ndani ya kimoyo honey umridhishe
Kuyaanza ni vigumu kutengana ni rahisi
Kuyafanza vidume wakaanga sumu wote uwa tight...


Unamuita Queen na una passion ya kumuona
Simu yake ina pin na mapassword kila kona Na majina kama Cadabra kumbe ni ibra yaani Roma
Na aliyem-save kama baba ndo yule hujiiba nae kinoma...


Ukienda kasi utaona love iko fasta kiasi kwamba your first lover hawez kuwa your last
Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mashiko anakuomba nadusko anaoga batonga anagonga vitu
Unamuita darling my wife mamyto unapata habari za wanafki kuna warafi wanamla hadi jicho...


Unaemtaka haumpati utampata wapi Anaekutaka haumtaki haumpi nafasi
Akikutega ukijiweka haukohoi utakesha tu unacheka ulishatekwa home boy
Weka yeye atoe Asiya enzi na usimboe
Wengi wanajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy...


Mapenzi ya kweli ni kama jini Wachache ndo wameona muache anaokuona unanini
Kusoma ujanja kama wanadada wa vyuoni kusoma mchana wanafanya uchangudoa jioni
kisha wana-act kama virgin in the morning, Ili picha uipate ficha flash wasiione...


Wengi hawa graduate na A wana graduate na Aids
When graduate utawajuaje kwamba wanahitaji confess
Ilimladi wasexy na washikaji wasi wacheke waki-test blood wanawapa stresser uponyaji ni hadi aki-bless God..


Uliemchekesha unamliza na anajuta umemfirithi zaid ya gear reverse inavomaliza mafuta
Wazamani siwezi mwacha na Mpya niliyempata yupo kwetu
Mjanja hawezi ingia dukani kununua viatu akiwa peku...


Kila msichana anataka bwana mwenye demu Aah inaonekana wanasaka bwana mwenye game
Mnachana mnachoma picha mna-change namba za phone Inakuumiza kichwa mapenzi yapo moyoni
Muda unapita unamuenzi hadi ndotoni unagundua yule mshenzi hakupendi lakini hamkomi...


Akikutega ukijiweka haukohoi unakesha tu unacheka ulishatekwa homeboy weka yeye atoe asiya enzi na usimboe
Wengi wanayajua mapenzi lakini wachache wanaya-enjoy





Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom