Kukosekana kwa mijadala ya Kisiasa na Kitaifa katika vyombo vya habari kuna fifisha na kupunguza kazi ya uwajibikaji #UhuruWaKujieleza hujenga hoja kwa hoja.
Mwaka 1984, Waziri Mkuu wa New Zealand Sir. Robert Muldoon baada ya kunywa pombe (Whiskey) alilewa na ghafla aliitisha uchaguzi wa kustukiza, Uchaguzi ulipofanyika tena alishindwa.Credit: Ayo Tv
Tafiti: Kukosekana hata kwa Viugomvi vidogo kwenye Mapenzi ni mojawapo ya kiashiria mmeanza kuchokana sababu watu wanaojaliana malumbano mara kwa mara hayakosekani.Chanzo: Huffington
Saikolojia: Mwanamke huvutiwa na muonekano wa Mwanaume kwa 55%, Jinsi anavyoongea 38% na kile anachokiongea kwa 7%, Kwa Mwanaume haitabiriki.Credit: Ayo Tv