Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mambo mengi ya umuhimu wakati wa kula japo kwenye mashule yetu huishia kutufundisha tu mlo kamili pekee

Ni ukweli usiopingika kuwa mlo kamili ndio msingi wa afya ya binadamu kwa sababu ukila mlo kamili unausaidia mwili kupata virutubisho vyote muhimu katika mwili wako

Lakini kuna mambo mengine muhimu pia katika kitengo hiki cha kula
 
Kutokana na mifumo ya maisha yetu wengi wetu tumekuwa na tabia ya kula haraka haraka kwa lengo la kuwahi mambo yetu mengine muhimu kama vile vibarua vyetu

Lakini je unajua hasara za kula haraka haraka??

Kama ulikuwa hujui Kula haraka haraka kunachochea unene/uzito wa mwili
 
Faviola alikuwa na umri wa miaka miwili wakati anafariki Sept 6, 2018, mama yake Saundra Gonzales akaanza kuwa na wasiwasi na watu baada ya baadhi ya vitu katika kaburi la mtoto wake kama maua na midoli kuibiwa katika makaburi ya the Masonic huko Las Cruces, New Mexico alikozikwa.

Hofu hiyo ilipelekea Saundra kufunga kamera kwa siri kurekodi kama kuna matukio yoyote hufanyika katika kaburi la marehemu mwanaye usiku.

Kilichoonekana kunaswa katika kamera hiyo ni picha na video ya msichana mdogo akiwa anatembea tembea kando ya kaburi hilo, baada ya Saundra kuitazama picha hiyo akaanza kulia akidai kuwa binti huyo anayeonekana ndiye binti yake aliyezikwa.

Katika video nyingine ilionyesha msichana huyo mdogo akitembea na mwanaume mrefu katika viunga vya makaburi hayo.

"Nadhani alikuja kumchukua mwanangu ampeleke mbinguni," alisema Saundra. Hakuna uchunguzi uliofanikiwa na kutoa majibu kuhusu tukio hilo la ajabu.

Kifo cha mtoto huyo kilisababishwa na kipigo alichopewa na baba yake wa kambo Lalo Anthony aliyekuwa ni mpenzi wa mama yake, licha ya kukimbizwa hospitali lakini hakupona.
 
The Light in Your Eyes
Kim Hye-Ja (Han Ji-Min) hopes to become an announcer. She is honest and has a positive personality, but she suddenly becomes a 70-year-old woman. 70-year-old Kim Hye-Ja (Kim Hye-Ja) gains the special ability to manipulate time. Lee Joon-Ha (Nam Joo-Hyuk) wants to become a reporter. He has worked hard to achieve his dream, but he now lives his life hopelessly. He gets involved with Kim Hye-Ja.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…