Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imelda mwenye umri wa miaka 91 sasa ni mke wa aliyewahi kuwa rais wa Ufilipino Ferdinand Marcos kati ya mwaka 1965 hadi 1986. Yeye mwenyewe Imelda pia amewahi kuwa kiongozi katika ngazi mbalimbali nchini humo kama Gavana na Mbunge.
Imelda Marco's, daa huyu mama alitikisa sana miaka ya 80, hasa zile jozi zake alfu 7 za viatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…