myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
15:55
[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1547682
Hongerasanakwao napendamtotowanguajekuwarubani.Wanafamilia wakiongoza ndege.
Kepteni Arif Jinnah na mwanawe Amour Arif wakiiongoza Airbus A220 ya air Tanzania.View attachment 1547478
RestinPiece DoktaShika
Apa ni wapi Tanzania
Chakula Chao ni kama nini?
Tujuze mamaInawezekana ni stori nyingi umezisikia, kuona kwenye filamu au hata kuzisoma kuhusiana na meli kubwa kuwahi kutengenezwa, meli ya Titanic iliyozama mwaka 1912 ikiwa baharini kutoka UK kwenda Marekani, karibu tukujuze mengi zaidi kuhusu meli hii.
Farasi 20??? Yani waliwezaje kuvuta meli kubwa ivyo!?Tani 22 za sabuni pamoja na mafuta vilimwagwa katika njia ambayo meli ilitakiwa kupita ili kuingia baharini baada kutoka kwenye sehemu ya matengenezo tayari kwa kuanza safari, zaidi ya farasi 20 pia walitumiwa kuivuta. Kulikuwa na urefu wa futi 772 hadi majini, ilitumia sekunde 62 tuu kuingia majini.
Khaa usd4300!! Ilikuw ghali sana aiseGharama ya tiketi ya bei ya juu kwa daraja la kwanza, first class ya kusafiri kutoka Southampton UK hadi New York US ilikuwa ni $4,350 ya wakati huo, karibu $69,600 za leo, ni zaidi ya TZS 161,820,000 za sasa.
Alimkashifu Mungu. Alizingua sanaBaada ya meli kukamilika mmiliki Joseph Bruce Ismay alisema "Hata Mungu hataweza kuizalisha meli hii" jamaa alifariki mwaka 1937.
Ile.movie inaonesha first class wakipewa kipaumbele..Abiria 26 kati ya wale waliokuwa kwenye daraja la kwanza walikuwa ni wenzi wa ndoa, waliamua kuifanya safari hiyo kama honeymoon kwao. Ni abiria 706 tuu wanakadiriwa kuokolewa, wengi wakiwa ni wale wa daraja la kwanza.