Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Licha ya meli kuanza kuzama, wanamuziki 8 waliokuwa wanapiga mziki katika behewa la daraja la juu waliendelea tuu kupiga mziki kwa masaa mawili na dakika tano wakati meli inazidi kuzama, kumbuka meli ilitumia masaa mawili na dakika 40 kuzama yote.
 
Edward Smith, nahodha wa meli, maneno yake ya mwisho yalikuwa: "Safi vijana, mmefanya jukumu lenu na mmefanya vizuri. Sitakuuliza tena (meli). Ninakuachilia. Unajua sheria ya bahari. Ni kila mtu kwa ajili yake sasa, na Mungu akubariki. " Sanamu yake nahodha huyu imechongwa huko Lichfield, Staffordshire.
 
Mwathiriwa mwingine ni Benjamin Guggenheim, mfanyabiashara wa US. Baada ya kugundua kuwa meli ilikuwa ikizama, yeye na mwenziye walibadilisha mavazi yao na kuvaa mavazi ya kuogelea huku wakisema "Tumevaa vizuri na tumejiandaa kushuka kama waungwana." Walionekana mwishoni kwenye viti wakinywa na kuvuta sigara.
 
Mwingine aliyeokoka kwenye ajali hiyo ni mwigizaji Dorothy Gibson ambaye wiki nne tuu baada ya ajali hiyo aliamza kuandaa filamu iliyoigiza tukio hilo huku yeye akiigizia nguo zile zile alizovaa wakati wa safari. Movie hiyo inaitwa "Saved From the Titanic" usichokijua ni kwamba movie hii ina dakika 10 tuu.
 
Mwingine aliyeokoka kwenye ajali hiyo ni mwigizaji Dorothy Gibson ambaye wiki nne tuu baada ya ajali hiyo aliamza kuandaa filamu iliyoigiza tukio hilo huku yeye akiigizia nguo zile zile alizovaa wakati wa safari. Movie hiyo inaitwa "Saved From the Titanic" usichokijua ni kwamba movie hii ina dakika 10 tuu.
 
unaweza kutafuta movie ya Godzilla: King of the Monsters ya mwaka jana 2019 au ya Shin Godzilla ya mwaka 2016 kumjua zaidi. Ameshiriki katika movies zaidi ya 32 huku ya kwanza ikiwa ni ya mwaka huo huo aliozaliwa, inaitwa Godzilla.
 
Tatizo la Dede linaitwa Epidermodysplasia Verruciformis ambapo viungo vya binadamu kama miguu, shingo au mikono hushambuliwa na virus na kuwa na mwonekano kama huo hali inayopelekea viungo hivyo kushindwa kufanya kazi.

Dede ni mzaliwa wa Indonesia alizaliwa mwaka 1971 na kufariki mwaka 2016 baada ya viungo vyake vya mwili kushindwa kufanya kazi.

Inaelezwa kuwa hao ni virusi mfano wa virusi wa fungus ambao hukua na kuwa wakubwa kabisa kama wanavyoonekana pichani.

Licha ya mara nyingi kufanyiwa matibabu ya tatizo hilo ikiwemo mwaka 2008 kusafiri hadi marekani kutibiwa lakini hakupona, na bado hakuna tiba maalumu iliyogunduliwa ya kutibu tatizo hili.
 
André aliyezaliwa mwaka 1946 nchini Ufaransa alikuwa mwanamasumbwi maarufu sana, unaambiwa jamaa kupiga chupa 100 za pombe kali dakika chache kabla ya pambano ilikua kawaida sana, anaweza akapanda na begi la bia kwenye ndege anaposafiri.
 
Back
Top Bottom