Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Amewahi kushinda ubingwa wa dunia wa mchezo huo WWE, mashindano ya ndondi uzito wa juu mara mbili, mwaka 1987 na 1988. Alistaafu mwaka 1992 na kufariki January 27, 1993 (46) akiwa hotelini Ufaransa baada ya moyo kufeli.