myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Poleni mliotoka kazini
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]Niwatakie mchana mwema ..rafiki zangu...
MMungu atujaalie risk ..zenye kheri na sisi...rehma na amani na iwe juu yetu...
Kwa wenye mashaka na maradhi Mungu awape afya na tulizo la nafsi..
Yatapita... hatuwezi kuwa hivi hivi siku zote...muhimu ni jitihada..uvumilivu..na kujifunza kuiunda furaha yetu sisi wenyewe...!
Duh!!Gharama ya tiketi ya bei ya juu kwa daraja la kwanza, first class ya kusafiri kutoka Southampton UK hadi New York US ilikuwa ni $4,350 ya wakati huo, karibu $69,600 za leo, ni zaidi ya TZS 161,820,000 za sasa.
Huyu ndiyo amenishangaza sana, maana watu walimpigania, wakamwaga damu, wameumizwa wakateswa mpaka amerudishiwa ushindi wake.Afrika hakuna kitu kamanda. Huyu alihangaika mpaka kumwaga damu na mambo ni yale yale tu. Wale makamanda wa Mali wamejipa miaka mitatu. Wataiba weeee halafu atakuja mwingine pale naye aibeee. Hovyo tu !!!
[emoji120][emoji120][emoji120]Poleni wakulima wote,,,
Nguli wa Sayansi hao...
Amin[emoji120]Mungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
Amin [emoji120][emoji120]Mungu awaponye wagonjwa wote [emoji120] [emoji120]