Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,214
- 50,188
Na asinikute kabisa maana ntadataUsije kuthubutu kukutwa na bwana Pepsi.
HahahaaKama ni yule mwenye pesa kuliko wote bila shaka itakuwa vilio na kusaga meno [emoji16]
Mtu wa stress unakuwa nae wa nini eti ๐Kuna mwingine akikuacha unafrahia, maana unaona kakupunguzia stress
Hujambo rafiki? [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]Hahahaa
Kuna viumbe mwanzoni wanakuaga wema badae sjui wanakumbwa na nini, stress zinaanzia hapo.Mtu wa stress unakuwa nae wa nini eti ๐
Sijambo best ake, umemisikaHujambo rafiki? [emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Wakishapata walichokuwa wanakitafuta wanaona hakuna jipya hapa...and boom their true colours zinaonekana [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna viumbe mwanzoni wanakuaga wema badae sjui wanakumbwa na nini, stress zinaanzia hapo.
Asante besti. Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijambo best ake, umemisika
Wanazingua mno, washamba tu.Wakishapata walichokuwa wanakitafuta wanaona hakuna jipya hapa...and boom their true colours zinaonekana [emoji16][emoji16][emoji16]
Amina rafiki yanguAsante besti. Mungu Aendelee kutubariki [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hamna kitu kama hii, mentor wetu huyo aachwe kama alivyo.Huyu akionekana - hata kama ni mzee apewe adhabu kali. Terrible legacy and dangerous precedent [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ametisha sana, namkubali mno ๐View attachment 1548715.
๐ legendiiii
Raha sanaaa, tena unamwambia alipie chumba kabisa umekaribia kumbe uko zako home umelala miguu umeinyooshea ukutani unacheza Candy CrushHamna kitu kama hii, mentor wetu huyo aachwe kama alivyo.
Lenie si unaujua utamu wa kula hela ya nauli afu huendi wala nini ๐
tuache tujinenepeee๐๐๐
Ametisha sana, namkubali mno [emoji23]
Hamna kitu kama hii, mentor wetu huyo aachwe kama alivyo.
Lenie si unaujua utamu wa kula hela ya nauli afu huendi wala nini [emoji23]
Nyote hamfai. Halafu ukute baba wa watu keshafanya na maandalizi adimu kama haya si anaweza kufa? Muwage na huruma sometimes jamani [emoji16][emoji16][emoji16]Raha sanaaa, tena unamwambia alipie chumba kabisa umekaribia kumbe uko zako home umelala miguu umeinyooshea ukutani unacheza Candy Crush
Huo ni moshi unafuka kichwani kwake? Hahahaa akomeNyote hamfai. Halafu ukute baba wa watu keshafanya na maandalizi adimu kama haya si anaweza kufa? Muwage na huruma sometimes jamani [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1548740
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Aisee nimeburst kucheka kama sina akili vile. Ni moshi ndiyo. Wanasema muziki wa Viagra siyo mchezo unaambiwa mnara unaweza kusoma 5G hata masaa sita mfululizo. Wengine hubidi kukimbizwa hadi emergency room kwa sababu ni hali ya hatari kwa moyo kusukuma damu kwa wingi namna hiyo kwa muda mrefu. Na kama mhusika ana tatizo la moyo na yeye akawa hajui ndiyo hayo unakuta fronti peji kwenye magazeti ya Shigongo kuwa "Njemba Yafia Guest. Yakutwa na Kondomu Kibao"...Huo ni moshi unafuka kichwani kwake? Hahahaa akome