Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KITU KIPYA
Baada ya kutumia mtindo wa kuingiza wachezaji watano wa akiba katika Ligi Kuu, na wachezaji tisa wanatakiwa kuwa katika benchi la wachezaji wa akiba, baada ya ligi kuanza kufuatia kusimama kwa sababu ya virusi vya corona 2019/20 idadi ya mechi ilirejea katika hali ya kawaida.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Aisee nimeburst kucheka kama sina akili vile. Ni moshi ndiyo. Wanasema muziki wa Viagra siyo mchezo unaambiwa mnara unaweza kusoma 5G hata masaa sita mfululizo. Wengine hubidi kukimbizwa hadi emergency room kwa sababu ni hali ya hatari kwa moyo kusukuma damu kwa wingi namna hiyo kwa muda mrefu. Na kama mhusika ana tatizo la moyo na yeye akawa hajui ndiyo hayo unakuta fronti peji kwenye magazeti ya Shigongo kuwa "Njemba Yafia Guest. Yakutwa na Kondomu Kibao"...

Muwage na huruma bestie mkitumiwa nauli. Mnaweza kuua watu hata bila kujua aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Haahahaa ile matatizo mengne watu wanajitakia wenyewe, kisa cha kumeza hayo madawa ni nini lakini!
Mtu hajiamini na performance yake au anameza ili ndo aonekane kidume, ona matokeo yake sasa.
 
Paris St-Germain na Manchester United wanapigiwa upatu kumsajili Lionel Messi baada ya mshambuliaji huyo wa Argentina, 33, kuifahamisha Barcelona kwamba anataka kuondoka - wako tayari kulipa ada ya kumpata. (Sport - in Spanish)
 
Back
Top Bottom