moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huenda alichotarajia hakukikuta.Mwingine hata hajafanyiwa ubaya, ni vile tu hakua na nia njema toka mwanzo, alipretend.
Mwingine anakuja kwa unyenyekevu akidhani atakuta "kibereko" akijakuta tofauti anaanza mbwembwe ili ajiondoe[emoji23][emoji23]