Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kapepo kapo kanakotusukuma ila mostly tunaogopa dushee kwa sababu nyie Me hamuaminiki... Unakuta hujamtongoza mtoto wa kike na ye mtoto wa kike kakuweka zake friend zone, unamtumia nauli anakuja kukusalimia rafiki yake kumbe we una mawazo yako ya kuamla kimasihara kisa tu ulituma nauli ndiyo unajimilikisha na kuona ashakuwa wako.
Aseee, yaani Dunia hii kumbe kuna urafiki wa kawaida kwa jinsia tofauti?
Acha mbwembwe bhana, yaani rafiki yako mpaka afikie hatua ya kukutumia nauli hapo jua dudu linahusika.
Nadhani pepo lina nafasi kubwa hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
FB_IMG_1598425490989.jpg
 
Kapepo kapo kanakotusukuma ila mostly tunaogopa dushee kwa sababu nyie Me hamuaminiki... Unakuta hujamtongoza mtoto wa kike na ye mtoto wa kike kakuweka zake friend zone, unamtumia nauli anakuja kukusalimia rafiki yake kumbe we una mawazo yako ya kuamla kimasihara kisa tu ulituma nauli ndiyo unajimilikisha na kuona ashakuwa wako.

Tangu lini kukawa na urafiki kati ya simba na mwanambuzi? Hata nyie mnajua kabisa mkienda kwa hao marafiki zenu wa kiume kuwa kuna possibility kubwa ya kuliwa ndiyo maana mnafanya maandalizi pendwa - kunyoa, kujipendezesha na kwenye mkoba kila kifaa cha muhimu kinakuweko.

Halafu marafiki wanakuwaga watamu balaa labda ni kutokana na ile sense kwamba umebahatisha tu na siyo wako. Friends with benefits [emoji1547][emoji1547]
 
Back
Top Bottom