Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200826-224800.png

Legendii wa mabaharia 😂😂 Extrovert
 
Ile Avatar kila nikiitoa mnataka nirudishe watoto wa jF mna nini lakini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!

Jambo flani zuri sana, sema siri yetu!
Ni kweli irudishe kamanda. Mimi siyo mtoto wa JF ila Ja Rule anakukubali sana. Unajua hili ni suala la kisaikolojia zaidi. Tunajua kuwa ID na avatar hizi ni feki lakini akilini mtu unakuwa tayari na association fulani hivi kati ya ID na avatar. Sasa ukikuta avatar imebadilishwa dah ubongo unagoma aisee. Rudisha avatar [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa kuwa umenipa maelezo ya kitaalamu wacha niirudishe tu 🤣🤣🤣... Umekula kura ya Ndiyo!
 
Back
Top Bottom