Baada ya watu kudai gari alilozawadiwa kwenye harusi yake ilikuwa danganya toto kwakuwa hawamuoni nalo, Esma aamua kufunguka
“Ukweli ni kwamba, gari ambalo nilipewa sikulipenda, hivyo nikaamua kuagiza lingine ambalo ni la kufunuka juu, na lina gharama kushinda lile na hivi karibuni litafika, watu wataliona,” Esma ambaye alisisitiza bado anakula fungate ameiambia GPL
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.