Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya watu kudai gari alilozawadiwa kwenye harusi yake ilikuwa danganya toto kwakuwa hawamuoni nalo, Esma aamua kufunguka

β€œUkweli ni kwamba, gari ambalo nilipewa sikulipenda, hivyo nikaamua kuagiza lingine ambalo ni la kufunuka juu, na lina gharama kushinda lile na hivi karibuni litafika, watu wataliona,” Esma ambaye alisisitiza bado anakula fungate ameiambia GPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…