Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
e863d3abe44bf97ca82cd74c1763aecd.jpg
 
Tai ni Ndege Anaesadikika kuwa yupo miongoni mwa Ndege wakubwa kabisa, Katika history Za Ndege, tai upendelea Zaidi kula nyoka, nyani, swala, ndege wenzake isipokuwa Ambao si Jamii yake, na hata mbarawa, na baadhi ya wanyama wengine, lakini akikosa mawindo hayo uwinda hata panya, na akikosa kabisa hata panya basi utafuta vijidudu vidogovidogo na kujipatia kitoweo.
 
Back
Top Bottom