Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo haliwezekani. Hata Cole analijua hili. Ni kuwa na mpenzi mmoja tu kama mimi na Jakitoo au wewe na Cole; na kuachana kabisa na ushawishi wa akina Kichwa Kichafu hata waje na gia gani. Otherwise tutakwisha!

Rafiki yangu mmoja alicheza na gono mpaka likamuua yaani mashine na goroli zote zilioza kabisa nyang'a nyang'a mpaka funza wanatoka. Kifo cha aibu na maumivu makali.
Preach
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa nguvu kweli...on a serious note tunakaribia kwisha maana kama na dawa zishaanza kudunda sijui tunaponaje...
 
Hilo haliwezekani. Hata Cole analijua hili. Ni kuwa na mpenzi mmoja tu kama mimi na Jakitoo au wewe na Cole; na kuachana kabisa na ushawishi wa akina Kichwa Kichafu hata waje na gia gani. Otherwise tutakwisha!

Rafiki yangu mmoja alicheza na gono mpaka likamuua yaani mashine na goroli zote zilioza kabisa nyang'a nyang'a mpaka funza wanatoka. Kifo cha aibu na maumivu makali.
Mkuu ni kweli?
 
Back
Top Bottom