Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200827-135231_Facebook.jpg
 
6- TAI anapotaka kufanya mapenzi, Jike ukimbia kwa speed kali akielekea chini kisha ananyakua tawi la mti na kupanda nalo kwa kasi angani Huku dume likimfuata kwa nyuma, kisha analiachia chini Dume anaanza kulikimbilia kabla halijatua na kulikamata KISHA kulirudisha Tena kwa Jike na Jike nae analiachia Tena mchezo wao unakuwa ni uleule hadi Jike lichoke, Jike likichoka ndo linampa mzigo dume ausasambue, Jike la TAI Huwa halitoi mzigo kwa dume lilokuwa LEGELEGE. (HII INAITWA ASIYEFANYA KAZI NA ASILE).
Hii ni kawaida kwa species wengi japo mbinu zinatofautiana. Ni njia ya kuhakikisha kuwa DNA bora tu ndizo zinarithishwa kwenda kwenye kizazi kipya (ni struggle for existence and the survival of the fittest). Serengeti kule ugomvi mwingi sana unasababishwa na ngono...halafu chakula. Hata Homo Sapiens bado hii ipo. Kupenda wenye six packs...warefu...wenye akili sana...lengo ni lile lile ...
 
Back
Top Bottom