myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mwenzio yupo kazini wewe unataka mahaba 😬 😬
Kumbe nao tai wana mapenzi ya Kikorea!!6- TAI anapotaka kufanya mapenzi, Jike ukimbia kwa speed kali akielekea chini kisha ananyakua tawi la mti na kupanda nalo kwa kasi angani Huku dume likimfuata kwa nyuma, kisha analiachia chini Dume anaanza kulikimbilia kabla halijatua na kulikamata KISHA kulirudisha Tena kwa Jike na Jike nae analiachia Tena mchezo wao unakuwa ni uleule hadi Jike lichoke, Jike likichoka ndo linampa mzigo dume ausasambue, Jike la TAI Huwa halitoi mzigo kwa dume lilokuwa LEGELEGE. (HII INAITWA ASIYEFANYA KAZI NA ASILE).
Kumbe nao tai wana mapenzi ya Kikorea!!
Nimeona ..capitalpool hii challange umeiona?
Sirjeff Dennis
@Sirjeff_D
·
Sep 3
Ningesoma IT/Comp Eng ningetumia miaka 10 kujifunza ku-Hack, then naotea deal 1 tu la dakika 10. Ila wana kibao wa IT ss hivi wanakomaa kuflash sim na kususha Windows.
Cyber Finity
@TroniOfficial
·
18h
Nimeona Go-Ahead ya
@Sirjeff_D
. Na kwakua tweet yake imenitaja mimi mwenyewe ila kubwa ameshindwa kuheshimu Taaluma za watu basi ntafanya kazi. Maneno mengi sio jadi ya wanaume, hivyo basi Ntaifuta Account yake. Tuanze kuhesabu muda.... Na iwe hivyo!
Sirjeff Dennis
@Sirjeff_D
·
19h
Hack Acc yangu au ifute kabisa acc yangu hii. Nimeongeza dau hadi 1.5M.