Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

capitalpool hii challange umeiona?

Sirjeff Dennis
@Sirjeff_D
·
Sep 3
Ningesoma IT/Comp Eng ningetumia miaka 10 kujifunza ku-Hack, then naotea deal 1 tu la dakika 10. Ila wana kibao wa IT ss hivi wanakomaa kuflash sim na kususha Windows.

Cyber Finity
@TroniOfficial
·
18h
Nimeona Go-Ahead ya
@Sirjeff_D
. Na kwakua tweet yake imenitaja mimi mwenyewe ila kubwa ameshindwa kuheshimu Taaluma za watu basi ntafanya kazi. Maneno mengi sio jadi ya wanaume, hivyo basi Ntaifuta Account yake. Tuanze kuhesabu muda.... Na iwe hivyo!

Sirjeff Dennis
@Sirjeff_D
·
19h
Hack Acc yangu au ifute kabisa acc yangu hii. Nimeongeza dau hadi 1.5M.
 
Katika mlima Everest teknolojia ya 4GLTE inapatikana, iliwekwa na Huawei kwa kushirikiana na mitandao ya simu nchini China, Lengo ni kuhakikisha watu wanaopanda mlima huo wanapata huduma ya intaneti bila tabu yoyote kwa kipindi chote wakiwa wanapanda mlima.
 
Kumbe nao tai wana mapenzi ya Kikorea!!
 
Nimeona ..
Nimejaribu some tricks nimegundua matundu yote kaziba kwa maana ya kuzingatia security terms UZURI.
Ni kupoteza muda kama unadhani Tanzania kuna programmer wa ku-mchallenge programmer wa nchi kama Israel/Marekani ama Urusi.

Na hata kama yupo si kwa 1.5 M pesa ya Kitanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…