Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Duh kumbeNimeona ..
Nimejaribu some tricks nimegundua matundu yote kaziba kwa maana ya kuzingatia security terms UZURI.
Ni kupoteza muda kama unadhani Tanzania kuna programmer wa ku-mchallenge programmer wa nchi kama Israel/Marekani ama Urusi.
Ndiyo!Duh kumbe
Kumbe safi kabisa. Maana kule insta wengi huwa wanalalamika kuibiwa accounts nikadhan ni rahisi sanaNdiyo!
AminMungu atupe afya na uzima[emoji120][emoji120]
AsanteWakulima wooote hongereni....
Now you know.Kumbe safi kabisa. Maana kule insta wengi huwa wanalalamika kuibiwa accounts nikadhan ni rahisi sana
Jibu zuri sana Komando Jide....