Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa za jana zilikuwa ni habari njema kwa klabu ya Barcelona, mashabiki wao na Ligi Kuu ya Hispania ambayo inajaribu kuwavutia watazamaji katika soko la dunia huku ikiwa tayari ilishakimbiwa na mastaa Cristiano Ronaldo aliyeenda Italia na Neymar aliyeenda Ufaransa.
 
Na inaaminika kwamba Messi hajafurahishwa na usajili wa baadhi ya nyota wa klabu hiyo katika siku za karibuni ambao wanaonekana hawana sapoti ya kutosha jambo linalomfanya abaki kubeba mzigo mzito wa kuifungia mabao timu na kuwapikia wengine mabao.
 
Awali upande wa Messi ulikuwa ukishikilia msimamo wa kwamba staa huyo anaweza kuondoka bure katika dirisha hili kulingana na kipengele kilichopo kwenye mkataba wake, lakini Barca wakisaidiwa na Bodi ya La Liga wamekanusha jambo hilo wakisema kuwa kipengele hicho kilikufa tangu Juni 10.
 
Kuna upungufu mkubwa wa wafanyakazi wa afya Uingereza. Wauguzi na MDs mnaolia eti hakuna kazi ombeni visa mkapige kazi huko..
***************

UK just launched a special visa called “Health and Care Visa” to give fasttrack visa to all healthworkers from anywhere in the world to come to Britain.

•Reduced visa fees
•Visa given within 3weeks.

Pass this on for your friend/family who may want to come to UK as a health worker.

Government launches Health and Care Visa to ensure UK health and care services have access to the best global talent


If u know any young nurse/ health care assistant. Pls encourage them to apply
 
Safiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…