moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120][emoji120]Wasafiri mfike salama
[emoji120][emoji120][emoji120]Wasafiri mfike salama
Likes zikifika alf 10 unazigeuza air time ya Vodacom [emoji23]Tufundisheni muhimu za likes kwa sisi wageni... Maana naona Mara tunapeana Kama makinikia Mara watu wanafurahiii... Alafu wakati ukikoment usisahau kubonyeza kitufe Cha like... Ahahaa
Woiii ahahahLikes zikifika alf 10 unazigeuza air time ya Vodacom [emoji23]
Usibishane na wakulima kamanda[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Woiii ahahah
Aaa wapi. Hakuna kitu hapo. Haitakaa itokee kama mwaka 2015. Nefaaa !!!Mbeya wanampa mashaka mgombea ubunge wa chama furaniView attachment 1559877
Subiri uone utakavyo Tulia[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Aaa wapi. Hakuna kitu hapo. Haitakaa itokee kama mwaka 2015. Nefaaa !!!
Ndiyo. Ajenti wa serikali apige risasi 16 zote apige mguuni wakati kafundishwa kuwa ukitaka kumuua mtu sehemu nzuri ni kichwa au kifua. Kasomea wapi huo ujasusi? Na watu wa forensics wana utata sana kwamba risasi zimeingilia kushoto kwenye gari lakini mguu uliopigwa ni wa kulia....na dereva mpaka leo sijui kawehuka...Iko namna sana katika hili tukio. Mianasiasa !!!